The Boss Lady, Zari Hassan a.k.a mama Latifa
ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa Instagram ambapo alipost picha ya
Superstar huyo kutoka Marekani, Kim K nakuandika ... Bofya hapa kwa stori kamili ...
“ Mlisema nilikuwa mtupu kwenye
photoshoot yangu ya ujauzito ???? hivi
ndivyo picha ya utupu inavyokua”, Zari aliongeza kwa kusema “wakati ujao namimi
nitapiga za utupu, Kwani Baba T anafikiria
kuongeza mtoto wa pili”. LOL
No comments:
Post a Comment