Thursday, August 13, 2015

Oprah na rafiki yake Gayle King wajiachia Disco, Spain !!!


 Ama kweli uzee mwisho Chalinze. Mtangazaji mahiri kutoka Marekani, Oprah Winfrey  na rafiki yake wa karibu sana wa kike, Gayle King  wameamua kujikumbushia enzi zao za ujana. Wawili hao wameonekana  wakila starehe ya hali ya juu katika Yatch Club moja  ya rafiki yao kutoka Hollywood, bw. David Geffenya nchini  Hispania. Bofya hapa kwa stori kamili ...


Oprah na rafiki yake hawakua pekeyao, katika moja ya picha alizopost Gyle kwenye ukurasa wake wa Instagram, aliweka picha ya pamoja , akiwa na mwanamziki , Will.I.am, mkurugenzi wa Disney, Bob Iger, Jimmy Lovine na wengine wengi.
IBIZA (AND TEQUILA) TIME! Aliandika Gayle: 'They say it's better in Ibiza! Disney big cheese @bobiger his lovely wife @willow_bay@iamwill take in teeny pink hats, umm limber dancers & @oprah leads @jimmyiovine in tequila shots! Good times good friends..

Siku ya Jumanne party ilihamishwa , Ibiza walipokutana na Will.I.Am


Gayle alipost pihaa hii siku mbili zilizopita wakiwa kwenye sehemu yakutizamia Cinema ndani ya Yatch hiyo nakuandika “Special screening outta Compton” w/ @jimmyiovine who REALLY knows the story breaking IT DOWN for @oprah straight from the Mediterranean!'




No comments:

Post a Comment