Monday, June 15, 2015

Wema Sepetu na Jokate Mwegelo waungana kusheherekea ushindi wa Ali Kiba: "Team Kiba" !!!


Baada ya ushindi warembo hao walitumia mtandao wa Intagram kutoa Pongezi zao.


"Hongera sana cherie @officialkiba kwa kujishindia tuzo sita jana usiku kwenye Kiba Tanzania Music Awards (KTMA) sorry Kilimanjaro Music Awards 2015 Teh teh the, " Aliandika Jokate


Huku bidada Wema aliandika: " Nilitaka zote saba ila hata sita pia sio mbaya.... #kingkiba .... umetisha"

Tuzo sita alizoshinda msanii, Ali Kiba ndani ya KTMA

No comments:

Post a Comment