Monday, August 10, 2015

Vazi La Kitenge: 3 in 1 !!!


 Huu ni ubunifu wa hali ya juu. Nawe pia unaweza kutengeneza vazi lako la two-piece ambayo unaweza kui mix and match nakupata zaidi ya outfit mbili na zaidi. Inaweza kuwa Pensi na Blauzi; Sketi na Blauzi au hata Suruali na Blauzi. Mwanawake kupendeza, wanawake tunaweza , tuwe wabunifu...






No comments:

Post a Comment