Yaya
Toure aliiongoza Man City katika ushindi mnono dhidi ya West Brom ambapo Raheem
Sterling aliyesajiliwa majira yajoto kwa dau la pauni milioni 49 akicheza
mchezo wake wa kwanza kwa timu yake mpya.
City
watakuwa mwenyeji wa mabingwa wa msimu uliopita kwa Chelsea na inawezekana
wakamkosa kiuongo, Yaya Toure aliyetolewa baada ya kupata maumivu ya misuli ya
paja.
No comments:
Post a Comment