Kwenye mitandao ya
kijamii kuna sauti ambayo imezagaa na kudaiwa ni sauti ya Nuhu Mziwanda alikuwa anamtongoza Wema Sepetu siku moja kabla ya kugawa tuzo za KTM 2015.
Isikilize hapa kwa Dk 9 kisha weka maoni yako kama unahisi ni ya Nuh na Wema au watu wameamua kuigiza.
Tukio hilo lililozua mtafaruku limejiri wikiendi iliyopita kwenye Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam kulipokuwa na pati ya kusheherekea siku ya kuzaliwa (Birthday Party) ya muigizaji Shamsa Ford.
Nuhu na Mpenzi wake Shilole |
Inasemekana baada ya Shilole
kusikiliza ujumbe huo alimfuata Nuh kwaajili yakumsikilizisha lakini Nuh hakuwa
na muda, alimjibu mbovu, kitendo kilichomfanya Shishi baby kumnyang’anya funguo
za gari nakurudi alipokua amekaa.
Ndomana Barnaba aliimba >>> "Mapenzi Shidaaaaaa........................................................ (malizia) ". ha hahaha
No comments:
Post a Comment