These girls are just too classy to be stealing phones jamani give them a break. Tena nasikia Aliyeiba simu ni huyo mweusi kidogo, the beautiful Swalha.Jinsi ninavyomfahamu Penny kwa kweli sidhani tetesi hizi ni za kweli, mtu anasafiri kwenda Marekani, France kama wengine na sisi tunavyo safiri kwenda Moshi au sijui niseme Kariakoo, ha hahah alafu leo eti nasikia kaiba iPHONE6 ya rafiki yake, haiwezekani...Nkikiiiiiiiiii ???
Kwakifupi, inasemekana hawa warembo walialikwa na rafiki yao John kula bata @News Cafe, baada ya John kupombeka warembo wakafanya yao. Muda mchache baada yakufanikisha kilichowapeleka waliamua kuondoka nakuelekea Samaki Samaki, ndipo walipogundua simu ina password hivyo hawatoweza kuitumia. Walivyo wajanja waliamua kumualika John kuwajoin nakumnywesha mpaka kikaeleweka then wakamuomba password na ndivyo mambo yalivyokua.
To cut the story short, Polisi walishirikishwa na baadaye simu ilikuja kupatikana nyumbani kwa Swalha.
Jamani shida zote hizi za nini ???
Anyways hakuna binadamu aliye mkamilifu * WAACHENI WATOTO WA WATU*
No comments:
Post a Comment