Monday, August 24, 2015

Chris Brown Kuita Albam yake Ijayo Jina La Mtoto Wake (ROYALTY) !!!


Chris Brown (26) anajivunia kuwa baba na ndomana amekua wazi na hisia zake juu ya mtoto wake Royalty.Weekend iliyopita, Chris alitangaza jina la album yake ya pili nakusema kuwa ameamua kuiita "Royalty". 

mtoto wa Chris Brown, Royalty <3
Alichokiandika Breezy katika ukurasa wake wa Twitter :   >>>  >>>  >>>

No comments:

Post a Comment