Monday, August 3, 2015

Beyonce Atumia £200k Kununua Kiatu cha Almasi !!!

Beyonce Knowles
 Beyonce Knowles (33), ametumia £200k ambayo nisawa na takribani Shilingi Millioni sitini na nne zakiTanzania (Tsh.64,188,357.60) kununua kiatu kilicho tengenezwa na madini ya Almasi ambacho amepanga kuvaa kwenye shooting ya Video yake ijayo. Mrembo huyo amenunua kiatu hicho cha aina ya kipekee kwenye Duka laviatu lijulikanalo kama “The House of Borgezie Princess Constellation stilettos”.




Beyoncealiendelea na shopping yake kwa kununua mkanda wenye urmbo wa dhahabu wa kumechisha kiatu hicho, uliomgharimu takribani £55,000.





Kali ya Mwaka !!!

No comments:

Post a Comment