Wednesday, August 5, 2015

Baba mzazi wa hayati Michael Jackson, Joe Jackson amepata mshtuko wa moyo baada yakumeza vidonge vitatu vya kuongeza nguvu za kiume (Viagra) nchini Brazil !!!

Joe Jackson kabla yakupata mshtuko wa moyo


Joe na marehem Michael Jackson

Hospitali ya Sao Paulo aliyopelekwa Jackson baada yakupata Stroke na three heart attacks.

Joe Jackson akiwa na msanii,Angelina Silitti kutoka Ufaransa, wakifanya ziara katika Klabu ya mpira ya Brazil kabla ya kupatwa na Stroke


P.S: KWELI UZEE MWISHO CHALINZE ! in this case CHICAGO  hahaha ha !!!


No comments:

Post a Comment