Wednesday, June 24, 2015

Steve Yanga asema hatokaa ajutie kuhamia Azam kwani mambo ni SHWARI !!!

Steve (kulia) akibadilishana mawazo na mdau wa soka

Steve, alipata umaarufu mkubwa baada ya Yanga kufungwa goli tano na Simba miaka kadhaa iliyopita ambapo Steve, alirekodiwa na vituo mbalimbali vya luninga akimwaga kilio cha nguvu kwa fedheha ya kufungwa. 

Steve ndani ya Azam Studios (Visit)

Hivi sasa Steve anajiandaa kusafiri kwenda  kununua vifaa vipya na  vyakisasa zaidi kwani anampango wakuboresha Saloon yake. Amesema mkae mkao wa kula kwani kuna mambo mazuri zaidi njiani.
 more pics after the cut ...



Kwa wale watakaokua wamemsahau,, Pitia hapa kidogo >>>>>>>>>>
http://www.youtube.com/watch?v=eAehZ5NZrNU

No comments:

Post a Comment