Joe Makini na kaka yake Nick wa Pili |
Ni swali lililoulizwa kwa muda mrefu sana toka Nicki
Wa Pili anatoka wakati Joh Makini tayari alikuwa mtaani aki Shine kama Solo Artist.
Binafsi nawakubali wote wawili,I believe they are both talented in their own
way.
Although watu wamekuwa wakisema ndugu hao wawili
wamekua na bifu kati yao, sii kweli. Hivi karibuni tumeona ni jinsi gani wawili
hao wamekua naushirikiano wa hali ya juu. Siwezi kaandika yote hapa , ila juzi
kati nilishuhudia Nikki wa Pili akimpongeza kaka yake baada ya kushinda
nominations kadhaa mwaka huu na kumwelezea kuwa ni Rapper mwenye kipaji cha
kiPEKEE (Unique Talent) !!!
Nikki wa Pili |
“ REAL
PROUD OF U …. UNA KIPAJI CHA PEKEE” aliandika Nick kwenye picha ya Joe aliyopost
kwenye account yake ya Instagram .
JOE ... |
Angekua anamuonea kaka yake gere , angeandika hivi
kweli ??? Jibu mnalo
No comments:
Post a Comment