Friday, June 5, 2015

FATNA RAMOLE: Nawashangaa sana watangazaji wenye beef na watangazaji wenzao !!!


(nikiwa na mtangazaji kutoka Clouds Tv; Perfect Crispin)
Kila nikiwaza nashindwa kupata jibu, Hivi nikwanini maPresenter haswa wakiBongo wanatabia zaajabu hivyo. Unaweza kukutana na mtu sehemu , tuseme Presenter mwenzio lakini mkapishana kama vile hamjuani. Eti kila mmoja anamsubiri mwenzie amuanze, ndotabia gani hii jamani?


Mara ukienda kumsalimia mtu maarufu au "STAR" kama mnavyowaita utasikia, " shobo", jamani haka katabia tukaache laa sivyo waTanzania hatutakaa tuendelee maisha yetu yote. Lets love and support each other ata kama tupo kwenye Media House tofauti bado tunafanya kazi moja, kuelimisha na kuburudisha jamii. Let's not spread the wrong message.

Utasikia huyu ana bifu na huyu, mara huyu na huyu haziivi , yote hayo yaninini? Tubadilike jamani. Leo wewe , kesho mimi .

"I do'not tolerate such nuisance at all. Other presenters are not my competition, although we challenge each other here and there, I will always stand with them and never against them."

WE NEED TO CHANGE !!!


No comments:

Post a Comment