Serikali
ya Zimbabwe inaendelea kukabiliwa na matatizo katika kufikia malengo yake ya
kifedha, kwa hivyo imeanza kuwategemea wahubiri maarufu wanaojitambulisha kama
manabii .
Siku ya alhamisi waziri wa afya
David Parirenyatwa alipokea takriban dola 120,000 kutoka kwa Walter Magaya wa
kanisa la PHD,ili kukarabati vituo vya afya.Kwa sababu ya hali mbaya za
kiuchumi,miujiza huvutia raia wengi na hivyobasi kuchangisha fedha nyingi kila
jumapili.
No comments:
Post a Comment