Friday, August 21, 2015

Mwanamke Mmoja Mwenye Matatizo ya Ngozi (Vitiligo) Aamua Kuchora Tatoo ili Kujiweka Wazi Juu ya Ugonjwa Huo !!!


 Baada ya kuamua kuacha kujificha juu ya ugonjwa huo wa Vitiligo, Tiffany Posteraro mwenye umri wa miaka 24 aamua kuchukua hatua kukabiliana na matokeo/mapokezi anayopata juu ya ugonjwa huo.Tiffany ameamua kujichora Tatoo mkononi iliyoandikwa (It’s called Vitiligo).



Inasemekana msichana huyu ndani ya miaka 17 amekua akitumia vipodozi ili kuweza kuficha ugonjwa wake wa ngozi kujulikana.



Hata hivyo Tiffany si mwanamke pekee mwenye hili tatizo. Chantelle Young-Brown, mlimbwende kutoka nchini Canada al maarufu kama Winnie Harlow naye ni muathirika wa ugonjwa huu.Lakini  pia ameamua kukubaliana na hali hii ya Vitiligo.




Moral of the story : “Jipende jinsi Ulivyo”

No comments:

Post a Comment