Familia ya Katherine iligundua
kuwa mwanao anamatatizo baada ya Katherine kuanza kulalamika kupata maumivu
makali yaliyomsababishia kupumua kwa shida, hii ilikua takribani siku 20 baada
ya Katherine kufanyiwa upasuaji.
![]() |
Katherine Castano Orozco, 30 |
Mwanamke
mmoja ajulikanae kama Katherine Castano amepoteza maisha kwa kufanyiwa upasuaji wa kuongeza makalio.Mwanamke huyo amefariki siku 2 baada ya kufanya upasuaji.
Inasemekana kuwa mwanamke huyo mwenye umri a miaka 30 amefariki kutokana na
hali ijulikanayo kama “Thrombophlebitis”.
"This is so sad. People are worried about
their beauty and are sacrificing their health for cosmetic changes. "
No comments:
Post a Comment