Thursday, July 30, 2015

Joyce Kiria Aendelea Na Kampeni Yake Ya "DyuDyu" !!!

 Mtangazaji mahiri wa kipindi cha " Wanawake Live, Joyce Kiria , aanzisha kampeni ya kupunguza unyanyasaji kwa wanawake ndani ya ndoa iitwayo "Dyudyu". Ndani ya kampeni hii Joyce anajaribu kuwafunza wanawake namna yakuishi na waume zao. Wengi wamekua wakimshangaa kwa kitendo hichi , wengine hadi kumshusha hadhi na kumtukna kwenye mitandao ya jamii lakini tunaona amedhamiria "to get her mesage across and she could care less'. Yes she did that, You go girl !



" Leo kuna Mwanaumelive kanituma niwaambie baadhi ya Wanawake ambao walikuwa wana-amshaamsha kwenye chakula ya Ndoa na baada ya kuolewa au kuingia ndani ya nyumba wamebweteka bweeee������ wanawake wengi wanajibweteka sana kwenye mpango mzima wa #Dyudyu Kanipa mfano wa mkewe kwamba zamani alikuwa analalia zile nguo za @mbutanangablog za how to look sexy at chumbani������ Eti siku hizi analalia jinsi Khaaaa!!! Utaacha kupigwa mangumi kweli??? Jinsi jamani? Kwani unasafiri au unaenda vitani?? Lini umeanza kufichaficha ??? Shida ninini mpaka uanze kulala na jinsi??? ������������������ Wanawake Turudie nguo za @mbutanangablog how to look sexy at home! Jamani wamama hata kama umezaa watoto musiwache amsha amsha eti kisa ushaingizwa ndani ya nyumba eti mume ushampata, unamlazimisha akachepuke Ngachokaaaa��������Kampeni ya Dyudyu ni Shiiiiiiiidaaaaaa�������� ila najua mnaisoma kimyakimya japo mnapiga makelele kama vile hamupendi dyudyu Wanafiki wakubwa�� utadhani mlishushwa toka mbinguni kumbe na sisi wote ni matunda ya Ndyudyu na siyo Vipigo fyuuuuu....
Hakuna Kupiga Mwanamke Kwa Ngumi Na Kummwagia Maji Ya Moto, Chaaaaaaaa Mwanamke anapigwa na nini wapendwaaaaaa?? Malizia kwa sautiiiiiiii hahahahaha����������#‎MtanyookaTuu hapa ni mwendo wa kuwalambisha �������� wale wooote mnaogeuza mapenzi Vita fyuuuuuu Ngachokaaaaaa "

Joyce kiria na mume wake, Henry John Kilewo





No comments:

Post a Comment