AzamTv inakuletea #KWETUHOUSE Season 2.Shabiki wa
kweli na mwenye kipaji atajinyakulia pesa taslimu Milioni 15 pamoja na zawadi
nyingine lukuki.
Wadau wa Moshi/Arusha mpo tayari? Tukutane KESHO, tarehe 12
pale Tripple A kuanzia saa 2:00 asubuhi.Kwa wale watakaohitaji fomu, Fika kwa wakala wetu Arusha uchukue fomu za usajili
Bensons
& Company-Sokine Rd
Leo
Investment-Sokoine Rd
Gadge
Tronics-Block 1
![]() |
Kwetu House ya mwaka jana ilikua full shangwe, ya mwaka huu sii yakukosa |
JE, wewe ni shabiki wa kweli?? Una kipaji?? Njoo tukutane Triple A kesho.
HII SII YAKUKOSA !!!
No comments:
Post a Comment