Dr.
Kalokola akionesha briefcase lenye fomu za kutafutia wadhamini mjini Dodoma
|
Bw.Muzammil Mussa Kalokola ni Mchumi na mmoja wa
waliochukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mwaka2015, kutoka Jiji la Tanga.Naye ni miongoni mwa wanaozunguka kutafuta wadhamini, kama wanavyo
fanya wengine walio chukua fomu.
Tukio hili liilitokea Dr.Kalokola alipoenda kwenye
Mkutano wa Mh. Edward Lowassa, Tanga na fomu za kuomba udhamini.
Katika mahojiano yake na Mtangazaji mmoja wa Radio leo asubuhi Dr.Kalokola alisema kiutani kuwa isingekuwa kwamba walimshtukizia na mtama wa nyuma wasingemuweza kabisa kwani alishawahi kushiriki "Millitary Service (S.Service) hivyo yupo vizuri sana kwenye maswala ya Karate . LOL !!!
TAZAMA VIDEO HAPA >>> http://www.youtube.com/watch?v=WyhIS5XnR8w&oref=http%3A%2F%2Fwww.youtube.com%2Fwatch%3Fv%3DWyhIS5XnR8w&has_verified=1
Maskini Mzee wawatu alipigwa mtama, nakuumizwa miguu... Was this necessary ???
No comments:
Post a Comment