Sunday, June 14, 2015

Alikiba Ajinyakulia Tuzo Tano :KTMA 2015

 Tuzo alizoshinda Ali Kiba ni pamoja na :- Msanii bora wa mwaka; Mtunzi bora wa mwaka katika Muziki wa Bongo Flava; Muimbaji Bora wa kiume wa Bongo Flava pamoja; wimbo bora wa mwaka pamoja na Mtumbuizaji bora

the sexy Kiba

Diamond Platnums,Joh Makini, Mzee Yussuf, Isha Mashauzi pamoja na Vannessa Mdee wote wameibuka na tuzo mbili mbili kila mmoja.


Tazama Orodha Kamili Ya Washindi Hapa

1. KIKUNDI BORA CHA MWAKA – BONGO FLEVA – YAMOTO BAND
2. KIKUNDI BORA CHA MWAKA TAARAB – JAHAZI MODERN TAARAB
3. BENDI BORA YA MWAKA – FM ACADEMIA
4. MSANII BORA CHIPUKIZI – BARAKA DA PRINCE
5. WIMBO BORA WENYE VIONJO VYA ASILI YA KITANZANIA (WAITE) -MRISHO MPOTO FT. FELLY KANO
6. WIMBO BORA WA ZOUK/RHUMBA – NITAMPATA WAPI – DIAMOND PLATINUMZ
7. WIMBO BORA WA AFRO POP – (MWANA) ALI KIBA
8. VIDEO BORA YA MWANAMUZIKI YA MWAKA – MDOGOMDOGO – DIAMOND PLATINUMZ
9. MTAYARISHAJI BORA WA MWAKA BENDI – ENRICO
10. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO WA MWAKA BONGO FLEVA – NAHREEL
11. MTUNZI BORA WA MWAKA- HIP HOP – JOH MAKINI
12. MTUNZI BORA WA MWAKA BENDI – JOSE MARA
13. MTUNZI BORA WA MWAKA BONGO FLEVA – ALI KIBA
14. MTUNZI BORA WA MWAKA TAARAB- MZEE YUSSUF
15. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA WA KIUME – ALI KIBA
16. MTUMBUIZAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA WA KIKE – VENESSA MDEE
17. MWIMBAJI BORA WA KIUME TAARAB – MZEE YUSSUF
18. MWIMBAJI BORA WA KIUME BONGO FLEVA – ALI KIBA
19. MWIMBAJI BORA WA KIKE TAARAB – ISHA MASHAUZI
20. MWIMBAJI BORA WA KIKE BONGO FLEVA – VANESSA MDEE
21. WIMBO BORA WA TAARAB – (MAPENZI HAYANA DHAMANA) – ISHA MASHAUZI
22. WIMBO BORA WA MWAKA – (MWANA) – ALI KIBA
23. WIMBO BORA WA KISWAHILI BENDI – (WALEWALE) – VIJANA NGWASUMA
24. WIMBO BORA WA R&B – (SISIKII)- JUX
25. RAPA BORA WA HIP HOP – KIPI SIJASIKIA ( PROF J FT. DIAMOND PLATNUMZ)
26. MSANII BORA WA HIP HOP – JOH MAKINI
27. WIMBO BORA WA AFRIKA MASHARIKI – (SURA YAKO) – SAUTI SOL
28. WIMBO BORA WA KUSHIRIKIANA – (KIBOKO YANGU) – MWANA FA FT ALI KIBA
29. RAPA BORA WA MUZIKI (BENDI) – FERGUSON
30. MTAYARISHAJI BORA WA NYIMBO (BENDI) – AMOROSO
31. WIMBO BORA WA REGGAE & DANCE HALL – (LET THEM KNOW) – MAUA SAMA

No comments:

Post a Comment